Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi ya Utendaji wa Mtaa daraja la III, Watunza Kumbukumbu daraja la II na Madereva daraja la II kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 16 hadi 18 Machi 2019. LIST YA USAILI (SHORT LISTED.pdf)
Along Bariadi-Lamadi Road
Anuani ya Posta: P. O. Box 526, Bariadi
Simu ya Mezani: +255 (28) 2700554
Simu: ******
Barua Pepe: info@bariaditc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.