Mkurugenzi Halmashauri ya Mji wa Bariadi anapenda kuutangazia umma kuwa, matokeo ya Usaili wa kazi ya udereve daraja la II uliofanyika tarehe 28/02/2023 yako tayari. MATOKEO YA USAILI (Matokeo ya Usaili kazi ya udereva daraja II.pdf)
Along Bariadi-Lamadi Road
Anuani ya Posta: P. O. Box 526, Bariadi
Simu ya Mezani: +255 (28) 2700554
Simu: ******
Barua Pepe: info@bariaditc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.