MHE. SAMORA NHOLA NSUZI
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Bariadi Ndg. Adrian J. Jungu anasikitika kutangaza kifo cha Mhe. SAMORA NHOLA NSUZI aliyekuwa Diwani wa Kata ya Bunamhala kilichotokea tarehe 24 Januari, 2023 katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Bariadi.
Marehemu Mhe. Samora N. Nsuzi aliugua ghafla usiku wa tarehe 23 Januari, 2023 na kukimbizwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Bariadi na mnamo alfajiri ya tarehe 24 Januari, 2023 alipatwa na umauti,
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi.
APUMZIKE KWA AMANI.
AMINA.
Along Bariadi-Lamadi Road
Anuani ya Posta: P. O. Box 526, Bariadi
Simu ya Mezani: +255 (28) 2700554
Simu: ******
Barua Pepe: info@bariaditc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.