• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
BARIADI TOWN COUNCIL
BARIADI TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri Ya Mji Bariadi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dhima na Dira
    • Historia
  • Huduma
    • Leseni za Biashara
    • Hati za Viwanja
    • Tozo za Huduma
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
    • Kitengo
  • Machapisho
    • Fomu
    • Ripoti
    • Habari
    • Waraka
    • Sheria
    • Sera
    • Gazeti la Serikali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
  • Miradi
  • Tangazo
  • Michezo na Burudani
  • Zabuni

ELIMU YA LISHE BORA KWA WATOTO WALIOCHINI YA MIAKA MITANO

Zilizopandishwa: June 21st, 2023


MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA LISHE YA MTAA WA BUPANDAGILA
 

Katika kuhakikisha tatizo la udumavu kwa watoto waliochini ya miaka mitano
linaondoka divisheni ya lishe Halmashauri ya Mji Bariadi imeendelea na zoezi la utolewaji
wa elimu ya lishe bora kwa wananchi ili kusaidia katika ukuaji wa mtoto kiakili na kimwili kufuatia uzingatiaji
namna bora ya kuandaa lishe bora ya mtoto kwa kujumuisha makundi matano muhimu ya vyakula  yanayohitajika.

Afisa Lishe Halmashauri ya Mji Baraidi Bi.Fatuma Kombo amewataka wazazi kuhakikisha wanazingatia
na kufuatilia afya ya mtoto kila mara ili kuwa na uhakika wa namna ya ukuaji wake huku akiwataka
wazazi kuhakikisha wanazingatia makundi yote matano wakati wa kuandaa chakula cha mtoto kwani makundi
yote hayo yana umuhimu mkubwa katika ukuaji wa mtoto.

Awali akitoa elimu ya maandalizi ya kuchanganya makundi yote matano kwenye chakula cha mtoto
Afisa Muuguzi wa Halmashauri ya Mji Bariadi Bi.Yustina Feya amesema ili mtoto aweze kukua
vizuri ni vema kuzingatia makundi ya chakula anayopatiwa mtoto kwani kutozingatia lishe ya
 mtoto inasababisha udumavu na kuwa na mtoto asiyekuwa na afya bora na kupelekea ukuaji wake kuwa wa kusuasua .
Mtaa wa Bupandagila na gisadi kata ya nyakabindi imeadhimisha siku ya  afya ya lishe kwa kupatiwa
 elimu sahihi ya namna bora ya kuandaa lishe ya mtoto na umuhimu wa kuzingatia lishe hiyo katika
 ukuaji wa mtoto ambapo katika maadhimisho hayo shughuli mbalimbali zimefanyika ikiwemo utolewaji
wa elimu sahihi ya lishe pamoja na utolewaji na huduma mbalimbali kwa watoto ikiwemo huduma ya upimaji
uzito,kupima mzunguko wa kati wa sehemu ya juu ya mkono kwa kutumia MUAC  Tape,utolewaji wa matone ya
vitamin A na chanjo .

MWISHO.

Matangazo

  • TANGAZO LA MRADI WA TACTIC HALMASHAURI YA MJI BARIADI March 09, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI February 22, 2023
  • MATOKEO YA USAILI WA KAZI YA UDEREVA DARAJA LA II ULIOFANYIKA TAREHE 28/02/2023 February 28, 2023
  • JINSI YA KUBADILISHA TAHUSUSI (COMBINATION) KIDATO CHA TANO June 13, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • ONGEZENI KASI KWENYE KUONYESHA MIRADI ILIYOFANYIKA

    February 07, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI YA MATENGENEZO YA BARABARA NA MADARAJA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 TSHS 2,060,610,000.00

    February 07, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI 2025/2026 BILIONI 29,235,121,948.00

    February 07, 2025
  • ONGEZENI UMAKINI NA MIKAKATI KWENYE UKUSANYAJI WA MAPATO

    February 07, 2025
  • Tazama Zote

Video

Ziara ya Mhe Rais Mjini Bariadi
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Union Day
  • BARIADITC

Tovuti Mashuhuri

  • Watumishi Portal
  • OR-Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Along Bariadi-Lamadi Road

    Anuani ya Posta: P. O. Box 526, Bariadi

    Simu ya Mezani: +255 (28) 2700554

    Simu: ******

    Barua Pepe: info@bariaditc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.