Na Kelvin Makenya,
Bariadi, Simiyu
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Bariadi Ndg Adrian J. Jungu amekabidhiwa cheti cha ushindi wa Utekelezaji wa Afua za Afya Mkoa wa Simiyu 2022. Katika hafla hiyo fupi, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Yahaya Esmail Nawanda alimpongeza sana Mkurugenzi na kumkabidhi Cheti cha Ushindi wa Utekelezaji wa Afua za Afya Mkoa wa Simiyu 2022.
Along Bariadi-Lamadi Road
Anuani ya Posta: P. O. Box 526, Bariadi
Simu ya Mezani: +255 (28) 2700554
Simu: ******
Barua Pepe: info@bariaditc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.