• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
BARIADI TOWN COUNCIL
BARIADI TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri Ya Mji Bariadi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dhima na Dira
    • Historia
  • Huduma
    • Leseni za Biashara
    • Hati za Viwanja
    • Tozo za Huduma
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
    • Kitengo
  • Machapisho
    • Fomu
    • Ripoti
    • Habari
    • Waraka
    • Sheria
    • Sera
    • Gazeti la Serikali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
  • Miradi
  • Tangazo
  • Michezo na Burudani
  • Zabuni

KAMATI YA USALAMA MKOA YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA BOOST BARIADI MJI

Zilizopandishwa: June 9th, 2023

KAMATI YA USALAMA MKOA YARIDHISHWA NA MIRADI YA BOOST HALMASHAURI YA MJI

Kamati ya Usalama Mkoa wa Simiyu ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa Mhe.Dkt Yahaya Nawanda June 07

ilifanya ziara ya kukagua miradi na Boost katika Halmashauri ya Mji Bariadi na kusema kuwa

imeridhishwa na maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya uboreshaji wa miundombinu ya Elimu  Msingi

inayoendelea kupitia Mradi wa Boost katika Halmashauri ya hiyo na kutoa maelekezo ya kuhakikisha

kuwa miradi hiyo ikamilike na kuwa bora zaidi.


Mhe.Dkt Nawanda  akizungumza mara baada ya kufanya ukaguzi  wa miradi hiyo  ambayo kamati hiyo

imetembelea ukiwemo  mradi ya shule mpya ya nyangaka,ujenzi wa madarasa wawili ya mfano katika

shule ya msingi Bariadi,ujenzi wa shule mpya oldmaswa,ujenzi wa vyumba vitatu shule ya Msingi

ng’wang’wali A,Gamondo A,Gamondo B,Sima B pamoja na Sanungu amesema miradi inakwenda vizuri 

hivyo amewataka kuhakikisha wanaendelea na spidi hiyo ili ikamilike kwa wakati huku kipaumbele

 kikiwa kwenye ubora .

Halmashauri ya Mji wa Bariadi imepokea kisi cha shilling Billioni 1,531,200,000.00 kwa ajili ya

uboreshaji wa miundombinu ya elimu msingi kupitia mradi wa Boost.



Kitengo cha Mawasiliano Serikalini

Halmashauri ya Mji Bariadi


Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA KAZI YA UDEREVA DARAJA LA II ULIOFANYIKA TAREHE 28/02/2023 February 28, 2023
  • JINSI YA KUBADILISHA TAHUSUSI (COMBINATION) KIDATO CHA TANO June 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI February 22, 2023
  • TANZIA January 24, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • ELIMU YA LISHE BORA KWA WATOTO WALIOCHINI YA MIAKA MITANO

    June 21, 2023
  • KAMATI YA USALAMA MKOA YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA BOOST BARIADI MJI

    June 09, 2023
  • KAMATI YA USALAMA MKOA YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA BOOST BARIADI MJI

    June 09, 2023
  • KAMATI YA USALAMA MKOA YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA BOOST BARIADI MJI

    June 09, 2023
  • Tazama Zote

Video

Ziara ya Mhe Rais Mjini Bariadi
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Union Day
  • BARIADITC

Tovuti Mashuhuri

  • Watumishi Portal
  • OR-Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Along Bariadi-Lamadi Road

    Anuani ya Posta: P. O. Box 526, Bariadi

    Simu ya Mezani: +255 (28) 2700554

    Simu: ******

    Barua Pepe: info@bariaditc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.