Kinasimamia shughuli zinazohusiana na vyombo vya habari , Uhamasishaji, huduma za masoko, usimamizi wa maudhui ya tovuti na matukio, uhusiano na kutoa msaada unaohitajika kwa programu za idara, vitengo na sehemu kwa masuala yanayohusika ya eGA.Sheria
Kinatoa msaada wa kisheria, ushauri, utaalamu na huduma kwa idara, vitengo, sehemu za wakala na taasisi nyingine.
Kinatoa msaada wa kisheria, ushauri, utaalamu na huduma kwa idara, vitengo, sehemu za wakala na taasisi nyingine.
Kinatoa utaalamu, ushauri na huduma kuhusu ununuzi, uhifadhi na ugavi wa bidhaa na huduma kwa Wakala.
Inatoa utaalam na huduma kuhusu masuala ya usimamizi na utunzaji wa fedha kwa Wakala.
Kinatoa huduma za ushauri kwa Ofisa Masuuli kuhusu usimamizi mzuri wa rasilimali.
Mipango na Maendeleo
Kinaandaa mipango mikakati na kusimamia utendaji kazi wa Wakala, utafiti wa kitaifa unaosimamia Serikali Mtandao.
Along Bariadi-Lamadi Road
Anuani ya Posta: P. O. Box 526, Bariadi
Simu ya Mezani: +255 (28) 2700554
Simu: ******
Barua Pepe: info@bariaditc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.