• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
BARIADI TOWN COUNCIL
BARIADI TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri Ya Mji Bariadi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dhima na Dira
    • Historia
  • Huduma
    • Leseni za Biashara
    • Hati za Viwanja
    • Tozo za Huduma
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
    • Kitengo
  • Machapisho
    • Fomu
    • Ripoti
    • Habari
    • Waraka
    • Sheria
    • Sera
    • Gazeti la Serikali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
  • Miradi
  • Tangazo
  • Michezo na Burudani
  • Zabuni

Ukaribisho

Kwa niaba ya watumishi wa Halmashauri ya Mji Bariadi, ninayo furaha kukukaribisha katika tovuti hii ambako tunatumaini utapata taarifa za kuaminika unazozihitaji kwa ukamilifu kuhusu wigo, upeo wa mamlaka, dira, dhamira, maadili, malengo, mikakati, shughuli kuu, ahadi na maadili ya Halmashauri.

Kama Halmashauri mpya, tunajitahidi kudumisha na kutumia mafanikio makubwa yaliyopatikana katika Serikali Mtandao kwenye Kurugenzi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, yenye wajibu wa kusimamia na kuratibu jitihada za Mamlaka za Serikali za Mitaa Kujitangaza kwa wananchi wao.

Tovuti hii inaonyesha ubunifu wa hali ya juu ambao tunaamini kwamba itakuwa rahisi kutumia na kupata taarifa kwa wanaoitembelea. Nimatumaini yangu kuwa kila atayetembelea tovuti hii atapata jambo la kumfurahisha na atarudi mara kwa mara ili tuendelee kuwa na mawasiliano.

Ni nia yetu kuendelea kuboresha tovuti hii kadri muda unavyokwenda ili ipatikane kwa urahisi na ubora wa hali ya juu. Tunafurahi sana kuzungumza na watembeleaji wa tovuti waliohamasika na tunathamini kila maoni tutakayoyapokea.

Ni matumaini yangu kuwa utakuwa umefarijika na naamini muda wako utakuwa umetumika kwa manufaa unapotembelea tovuti yetu.

 

Mkurugenzi wa Mji,

Halmashauri ya Mji wa Bariadi

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA AJIRA ZA MUDA ZA SENSA YA WATU NA MAKAZI MWAKA 2022 July 18, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - AJIRA ZA MUDA ZA SENSA YA WATU NA MAKAZI July 27, 2022
  • TANZIA January 24, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MHE. SAMORA NHOLA NSUZI : DIWANI WA KATA YA BUNAMHALA KATIKA HALMASHAURI YA MJI BARIADI AFARIKI DUNIA

    January 24, 2023
  • Tazama Zote

Video

Ziara ya Mhe Rais Mjini Bariadi
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Union Day
  • BARIADITC

Tovuti Mashuhuri

  • Watumishi Portal
  • OR-Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Along Bariadi-Lamadi Road

    Anuani ya Posta: P. O. Box 526, Bariadi

    Simu ya Mezani: +255 (28) 2700554

    Simu: *255 767 232 895

    Barua Pepe: info@bariaditc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.