Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mji Bariadi limepitisha rasimu ya Mpango na Bajeti ya Tshs, 29,235,121,948.00 ambayo inatarajiwa kutekelezwa katika Mwaka wa fedha 2025/2026
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Bariadi Mheshimiwa Elias Masanja akiongoza baraza hilo amesema wameridhia na kupitisha rasimu hiyo kwa ajili ya mwaka wa fedha 2025/2026 bajeti ambayo inatarajiwa kutekelezwa.
Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini
Halmashauri ya Mji Bariadi
Along Bariadi-Lamadi Road
Anuani ya Posta: P. O. Box 526, Bariadi
Simu ya Mezani: +255 (28) 2700554
Simu: ******
Barua Pepe: info@bariaditc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.