Eneo kijiografia
Halmashauri ya Mji Bariadi ni makao makuu ya Mkoa wa Simiyu,
Halmashauri ina ukubwa wa kilometa za mraba 876.71. Inapakana
na kata ya Sakwe na Ngulyati upande wa Magharibi; Kata ya Dutwa,
Mwadobanana Ikungulyambeshi upande wa Kaskazini; Kata ya Bumela,
Nkololo na Budalabujiga upande wa Mashariki; yata za Luguru na Nkoma
(Halmashauri ya wilaya ya Itilima)upande wa Kusini
Tabia za Kijographia na maeneo ya utawala wa Halmashauri
Halmashauri ya Mji wa Bariadi ilianzishwa mwaka 2012 kama mchakato wa uboreshaji wa Mamlaka ya Mji wa Bariadi
kulingana na Notisi ya Serikali Na.278 ya tarehe 24 Agosti, 2012.
Halmashauri ya Mji wa Bariadi iko takribani kilomita 1192 kutoka Jiji la Dar es salaam. na Inaundwa na kata kumi:
Bariadi, Somanda, Sima, Malambo, Isanga, Mhango, Nyangokolwa, Guduwi, Nyakabindi na Bunahmala,
ambazo ni sawa na eneo la kilomita za mraba 876.71.
Along Bariadi-Lamadi Road
Anuani ya Posta: P. O. Box 526, Bariadi
Simu ya Mezani: +255 (28) 2700554
Simu: ******
Barua Pepe: info@bariaditc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.