Leo Mei 25, 2019 mnamo saa 3:00 asubuhi, Mwenge wa Uhuru umekabidhiwa rasmi kwa Mkuu wa Wilaya Bariadi na Kuanza mbio zake rasmi katika Halmashauri ya Mji Bariadi. Ukiwa katika Halmashauri ya Mji Bariadi, Mwenge wa Uhuru utembelea maeneo mbalimbali na utafungua Miradi sita ya Maendeleo. Hapo tarehe 26 Mei, 2019 Mwenge wa Uhuru utahitimisha mbio zake katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi.
Along Bariadi-Lamadi Road
Anuani ya Posta: P. O. Box 526, Bariadi
Simu ya Mezani: +255 (28) 2700554
Simu: ******
Barua Pepe: info@bariaditc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.