BARIADI, SIMIYU
Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Lupakisyo Andrea Kapange (Mkuu wa Wilaya ya Bariadi), anapenda kuwataarifu Waombaji wote wa kazi za Ajira ya Muda ya Sensa ya Watu na Makazi wa Halmashauri ya Mji Bariadi walioomba kazi kupitia tangazo la tarehe 05/05/2022, lililotolewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa usaili utafanyika tarehe 19/07/20222 kuanzia saa 2:00 Asubuhi katika Makao Makuu ya Kata husika uliyoombea ajira isipokuwa Wasailiwa wa nafasi ya TEHAMA wafike Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bariadi kwa usaili. Majina ya Waombaji yameambatishwa hapa chini.
Along Bariadi-Lamadi Road
Anuani ya Posta: P. O. Box 526, Bariadi
Simu ya Mezani: +255 (28) 2700554
Simu: *255 767 232 895
Barua Pepe: info@bariaditc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.